Wamevunja mguu ya mwizi mshiny eye banaa [Graphic] Lmfaoooo

Mshiny eye Njuguna amepatikana akiiba kuku banae. Kuku live msee. His trick ilikuwa ameshika kuku alafu anaivunja mguu ikiwa alive ndio isiweze hepa. Manze walimshika and did the same to him.
[ATTACH=full]281990[/ATTACH]

Hiyo mguu imevunjika propeer

Ngoja uskie Rumuruti Land savings and buyers sacco akisema vile white man aliunda the stone that broke the leg.

Lazima angekuwa shinning eye???

This is savagely cruel. Mob justice should be a thing of the past.

Ile lynching ya ya wezi wa viazi ilishtua hadi watu U.S.

The sheer barbarity and cruelty.

why kill or beat a man anaiba chakula??

Hio kuvunja mguu imetosha. Hata wasiongeze kichapo.

Umejuaje ni shiny eye, gay midget?

Kama mtu hajaua hakuna haja ya kumfanyia mob justice kama savages.

Makofi kadhaa na mangumi ni sawa, lakini kuvunja mguu ni overkill.

Irony, hakuna mtu hufanyiwa mob justice mbaya kama mwizi wa kuku.
Ata yule alikuwa anakatwa katwa na panga video flani huko kwa Waluhya alikuwa ameiiba kuku.

Mob justice is a product of a failed justice system… Hawa watu hawapigwa bure some this fuckers will stub for the heck of it.

The lower part of the broken leg should be very swollen. Even mguu haiwes kanyaga shini.

Wueh noma mseee

Tandika mtu proper,that is not enough. Pale kwa kina olusegun tungekua tunaota moto saa hii

Nyinyi mnakaa watu walizaliwa leafy surburbs with mummy and daddy offering protection. Mob justice has always been there but has it detered them? No! Your govt. Is fwacked up have you done anything to change that? No! Today he steals a chicken tomorrow he carjacks then upgrades to rape frenzies. God forbid it happens to you or your close peeps then everything comes to perspective. That broken leg will be the least of his problem. I say burn that fukcer,his parents are failures…dont blame the system,iko fukced already:cool::cool::cool: [SIZE=1]yeah i said it[/SIZE]

Every time I want to feel sorry for these young men I remember the video from that Kasarani shop. Hakuna mkenya hajui maana ya asiye funzwa na mamake… so wacha wakufe

I will break it down for you why a chicken thief deserves the.most painful of deaths. You see kule ushago, ukiwa umeweka kuku kidogo not commercial, all you need to do ukiwa na kuku ni kuamka asubuhi ufungue mlango kuku zitoke nje kujitafutia chakula. You supplement their diet by throwing at the left over ugali and a handful of maize but hii sio lazima. Mark you utapata kakuku ka one hundred kama aunt yako hawezi kukupea kifaranga ulee. The other effort required is to close the door jioni kuku zikisha ingia kwa nyumba.
Now, a man who cannot open and close his door kuku watoke na kuingia so that he resorts to stealing chicken deserves all that the devil throws at him.

I think the main reason why we don’t have thaat many serial killers in Africa compared to other continents is because of mob justice. Huko majuu unaskianga serial killer alianza kuua vifaranga, ak-upgrade to paka na doggy, akafanya arson kidogo, aka-molest watoto…all this time system inamshika na kumuachilia, mpaka anakua full blown serial killer. Huku kuna tutabia ukianza tunazimwa kabla upate experience ya kuenda next level. But judging by video ya yule ghaseer alikua ananyonga monkey in public, we’ve also adopted that don’t care attitude.

One more beggar into the streets now

Hawa wezi wadogo wadogo huwa hatari sana and they are also very annoying. Unatoka kwako one minute. The next minute mtungi imeenda, kuku, mbuzi n stuff. Shika mmoja awekwe kichapo cha mbwa.atakuwa funzo kwa wengine

I’m sure there are serial killers here. It’s just that D-s are not smart enough to link murders.

In Brazil they slice two fingers in each hand. Either with a knife or they shoot a bullet through the palm of your hand. And that’s a warning. Let them not catch you again.