Wanaume kujipodoa.

Status
Not open for further replies.

Hi3hland3r

Village Elder
#1
Hivi baadhi ya wanaume kwa nini wanajipodoa. Kuna maswali mengi mwanaume kujipodoa, Je ni kwa ajili ya kuwavutia wanawake au wanaume wenzie?

Je ni usafi na umaridadi tu au kuwaringishia wanaume wenzao au ni kushindania urembo na wanawake?

Twajua kujipodoa kwa wanawake ni kujiremba lakini mwanaume anaejipendezesha kwa kujipodoa na ma make-up chungu nzima huwa yuafanya vile ili aonekane mzuri zaidi kwa watu sampuli gani? hqdefault.jpg
 
Status
Not open for further replies.

Top