Hivi baadhi ya wanaume kwa nini wanajipodoa. Kuna maswali mengi mwanaume kujipodoa, Je ni kwa ajili ya kuwavutia wanawake au wanaume wenzie?
Je ni usafi na umaridadi tu au kuwaringishia wanaume wenzao au ni kushindania urembo na wanawake?
Twajua kujipodoa kwa wanawake ni kujiremba lakini mwanaume anaejipendezesha kwa kujipodoa na ma make-up chungu nzima huwa yuafanya vile ili aonekane mzuri zaidi kwa watu sampuli gani? [ATTACH=full]1063[/ATTACH]