Wanaume na milio yao wanapofika kileleni!

Demiss

Senior Villager
#1
Jamani haya maisha ya ugenini ni balaa.
Oky unajua mimi Demiss nimepitia vituko vingi sana na huwa ninapenda sana kufatilia baadhi ya mambo.
katika mahusiano nimeshadate na wanaume tofauti tofauti hivyo kuna vitu nimekutana navyo kwangu naviona vya ajabu sana kiukweli kutoka kwa wanaume hao kama ifuatavyo usiniulize wanaume wangapi imeshatokea sihitaji ushauri.

1.Mwanaume anayeunguruma kama simbaa anapofika kileleni.

2.Mwanaume anayecheka anapofika kileleni utasikia haahhahahahhahahahahhahahahahhahahahahhahahaha kumbe ndo anafika kitonga kwa style ya kucheka uwiii unaweza kuhisi umelala na jini kisirani.

3.Mwanaume anayekung'ata na kukufinya finyaa mwilini anapofika kitonga.

4.mwanaume anayekodoa macho na kukenua mdomooo huku anahema kama yupo mbio za Marathon.

5.Mwanaume anayezimia baada tu ya kufika kitonga
.
6.Mwanaume anayetetemeka kama ana degedege au aliyepigwa na baridi ya Mafinga Iringa.

Demiss Malaikaaaaa.
 
#2

Shemeji Demiss mpaka hapo nimeona ushadate na wanaume aina sita ila bado aina moja!!hahahahaha
 
Top