Wanaume wa Kenya hivi kwanini mnakong'otwa sana na wake zenu hamuoni aya?

Hili jambo limenishangaza sana, m’baba na ndevu zake anatoka hadharani eti “mke wangu kanipiga”!!
Hivi hamuoni aibu?

Mgangamale na nyie acheni kuwa mdebwedo.

Utakong’oliwaje na mwanamke?

Me trying to read a post by a Tanzanian

https://i2.wp.com/66.media.tumblr.com/tumblr_m4d16entGD1r5jtugo1_500.jpg

English pliz

fuck u with thess kenya v Tz threasd.u tanzanzians mna bore

Nyinyi waTz hamna kazi kwani… Mara mwataka wanawake wa kikenya… Mara mwataka kuja kenya… Mara ni wanaume na mbuzi wao kufanya mapenzi…
Nyinyi mumejenga nchi yenyu mkaona mwanze kujenga la wengine… Mwanishangaza aisee!!

Mapovu ya Omo ya nini?

This is one of the wonders of the world,mnatutia aibu kwahilo la kupigwa na wanawake,nina mashaka lakini na hiyo lugha uliotumia hapo mkuu,kama wataielewa ‘mdebwedo,kukon’golewa’…

[ATTACH=full]176565[/ATTACH]

Wakuu hapa hamna Kiswahili,ni upuzi tu! Nimefunza lugha kwa miaka saba na katika kiswahili hatuna neno kama m’baba, pia sentensi ya kiswahili sio sawa kisarufi kuanza’Hivi hamuoni aibu’ ungesema Hamuoni aibu? Baff!

:meffi::meffi::meffi:

Huyu anakaa wale waswahili wa huko Kitui majengo wanaoitwa Mutiso, mutinda, kitheka acha kututisha kula maembe polepole na muthokoi

[ATTACH=full]176567[/ATTACH]

Wanaume wa KE wanapata tabu sana kwa maana wanapewa KIPIGO CHA MBWA KOKO na WAKE zao

hizo ni slang zao tu

Basi wanatupotosha.

Trying to read and understand this bullshit needs willpower. I am out .
Kindly restrict kiswahili sanifu bullshit to jamii forums section.
Saitan!!

Tatizo wanaendekeza sana pombe mpaka wanamaliza uwezo wa kupambana na wanawake zao…

Cc: @Mahondaw

tumekutombea demu wako nini ndio maana waona tunaboa

sawa ticha ahahahahah

ok village elder