Wanaume wanapitia shida kwenye ndoa....

Hii heri aende kwao

Reminds me of something I watched yesterday as peasants were being interviewed in the streets:

Interviewer: Mwanaume akioa amepata jiko. Mwanamke akiolewa amepata nini??

Women: Amepata wallet

It seemed funny at the time but when I analysed that response through a re.d p.ill lens, I realized its true.

Men view women as incubators, and women view men as wallets. Women sell bodies, men sell success.

Hahahahahahah!

Peter apewe uji nitumiwe paybill.

Lakini inakaa scripted.

:Damesema anaenda. Akiambiwa sawa enda anasema amefukuzwa…eish!

Marriage is a safe haven for women. It never favors you.

Hii story yote ju unataka kunusa vidole kwa mat ukienda job.

Fakeeee

This is so true.

womens ultimatums hauezi shinda:D:D:D

I have seen another one featuring the same guy na voice ya huyo dem. I already hate the woman na simjui.

Nikipata kama huyo I will dump her immediately. Sipendi mwanamke ako na issues kila wakati.

wimbo ni ile ile MGTOW=Freedom=Free Agent Lifestyle

upusssssu

Watu wengi hugundua after honeymoon.

Ndiyo maana mimi hushangaa nikiskia a couple is celebrating 50 years of marriage. Alaaa! It can never be me

Hizi scripted upuss zinachosha married homosexuals like @MTINGIZA KITANDA!!! Watafutiwe kazi ya kufanya

Mbona unasema hio freedom na uwoga? Say it loud like secretary @Karoga does it

:D:D:D:D:D… MGTOW= FREEDOM…hii gaslighting Mimi siwezani kabisa!!! Hii upuss niliachia beta male planteshen worker ghaseer @Yuletapeli and company.

Saw the same guy. I think wako na tiktok channel na hiyo ndio content yao

Your peace of mind is very important. Guard it jealously. It is your key to good health and well-being.

If someone says they want to leave, always call the bluff and reset the relationship.

Aiii mtu amesema vizuri anaenda,akiambiwa aende tena amefukuzwa