WANAWAKE KUTOKA WILAYA YA ROMBO TANZANIA WAINGIA KENYA KUTAFUTA WANAUME.

Status
Not open for further replies.
#1
Wamama wanaopatikana katika kijiji cha Rombo mkoa wa Kilimanjaro wameamua kuvuka mipaka na kuingia katika nchi ya Kenya kutafuta mabwana wa kushiriki nao Ngono.

Wameamua kufanya hivyo kutokana na baadhi ya wanaume wa kijiji hiko kuwa walevi kupitiliza na kushindwa kushiriki kimapenzi itakiwavyo.
 

pamba

Village Sponsor
#7
@ fala12,kesho nakuja kakamega kutembelea watoi wangu hapo kakamega hill school,sema niwapi nikupate upewe mbili omwami?
 
Status
Not open for further replies.

Top