Wamama wanaopatikana katika kijiji cha Rombo mkoa wa Kilimanjaro wameamua kuvuka mipaka na kuingia katika nchi ya Kenya kutafuta mabwana wa kushiriki nao Ngono.
Wameamua kufanya hivyo kutokana na baadhi ya wanaume wa kijiji hiko kuwa walevi kupitiliza na kushindwa kushiriki kimapenzi itakiwavyo.