Wanawake mkitaka mgegedo muwe mnasema, sio lazima mwanaume aanze

Wakuu,

Kiukweli mimi nikimiss kugegedwa huwa namwambia mume wangu.

Kama yupo job namtumia vi SMS vya kumpandisha mzuka.

Hata tukiwa home namwambia beb nimemiss unavyoni…

Nashauri wanawake wengine wakitaka kufurahia utamu wawe wanawaanza waume wao.

Jamani wanawake sio lazima kila siku mumeo akuanze…na wewe jiongeze…

Doncute

@Doncute ambao hatujaoa tuna pata tabu sana na izi Mada zako tata apa gegedo tayari liko Ndindiiiiiii

Mtapata tabu sana…ha ha haaa…

Oa mkuu…

Tatizo binadamu ni wabishi sana…

Cc: @Mahondaw

mi hua niombi hua naingiza mkono kwenye box nafanya yangu utaona tu anaanza kugunaguna anajua tu huyu anataka mechi

Sawa.

Baelezee, baelezee

Asee

Mawazo mgando kabisa, empty set kabisa

Kumbe Umeolewa Nilikua Sijui Mie

Sawa

nzur na inaongeza mapenzi sana!

Nliivona tu unasema una mume
Stim yote imekata

Wacha weee. Hivyo tufunguke Sesten. Hahahaaaa.

Mmh. Kwani wanaanzaga au ndio huwa inatokea tu wote mnahitaji?

Au kuanza huko ni kupi unakosemea mwaya.

Mh inategemea bwana kuanza anaposema ni vile mm hamu imenishika nashindwa kumwambia mbebez mpaka aanze kunishika shika au aniambie anataka

Hmm!.. :oops::oops::oops:

Una chura?

ndokwanzaaa katikati ya wiki mweh!

Kwani lazima useme kwa maneno “vocal symbols?” Si utumie viashira tu! Lugha ya picha inaeleweka wkt mwingine zaidi ya Maneno! Kwanza sisi -me tunaweza tusielewe lugha zote za kike, lkn ktk suala la kumpelekea moto -ke, hata kama tulielewa vibaya lugha ni mbele kwa mbele! Moto ni moto tu Muraaaah!