Wanawake muna Madhambi

Masood

Village Elder
#1
Kuna rafiki yangu x-wake kaolewa kama miaka tatu hivi. Kabla hajaolewa tuliwahi kuwa na mjadala na rafiki yangu pamoja na huyo binti kwamba nini maisha baada ya kuolewa.she Mwanamke alikuwa anamsistizia rafiki yangu ahakikishe hatamuacha kwa kisa ameolewa. Jamaa kajitahidi sana lakini binti hataki kusikia kauli ya kwamba kuolewa ndiyo alama ya mwisho wa mapenzi yao.

Matukio muhimu:
  • Binti alilala na x-wake siku ya send-off just kumuonesha kwamba he means alot to her
  • Siku ya harusi alicheza na Bibi harusi mziki kama utani wa kazini kumbe hakuwa wanafanya kazi pamoja. Bint kawashirikisha rafiki zake kuandaa mchezo
  • Kipindi cha honey moon zanzibar jamaa kapiga mzigo just imagine kapanga room in the same hotel. Jamaa mwenye mke alirudi dar kazini kwa kitu specific ambacho wife alijua in advance
  • mwanamke hadi leo hataki kupata mimba ya husband kwakuhofia jamaa-mwizi akishajua wamezaa mtoto ataona hana mvuto atamuacha
la mwisho ndilo nalikemea hasa. Kila siku za weekend wakiwa wamelala hasa jamaa akiwa amelala fofofo, huyu mke anapiga video call watsap kwa jamaa anamuonesha alivyolala uchi na jisnsi fala alivyolala fofofo...

with due respect dada zangu, please huu sio uungwana. Ukishaolewa tulia na kama mtu humpendi why unamdhalilisha? My rafiki nimemshauri sana lakini sijui kapewa nini hasikii yaani nimepunguza ukaribu kwa kiasi kikubwa sana....
Jamani tuwe na ustaarab.

Wadau nawasislisha
 
Grundy

Village Sponsor
#12

I'm ashamed to say this lakini hiyo hekaya nimeshindwa kuielewa.
 
Top