Wanawake muna Madhambi

Kuna rafiki yangu x-wake kaolewa kama miaka tatu hivi. Kabla hajaolewa tuliwahi kuwa na mjadala na rafiki yangu pamoja na huyo binti kwamba nini maisha baada ya kuolewa.she Mwanamke alikuwa anamsistizia rafiki yangu ahakikishe hatamuacha kwa kisa ameolewa. Jamaa kajitahidi sana lakini binti hataki kusikia kauli ya kwamba kuolewa ndiyo alama ya mwisho wa mapenzi yao.

Matukio muhimu:
[ul]
[li]Binti alilala na x-wake siku ya send-off just kumuonesha kwamba he means alot to her[/li][li]Siku ya harusi alicheza na Bibi harusi mziki kama utani wa kazini kumbe hakuwa wanafanya kazi pamoja. Bint kawashirikisha rafiki zake kuandaa mchezo[/li][li]Kipindi cha honey moon zanzibar jamaa kapiga mzigo just imagine kapanga room in the same hotel. Jamaa mwenye mke alirudi dar kazini kwa kitu specific ambacho wife alijua in advance[/li][li]mwanamke hadi leo hataki kupata mimba ya husband kwakuhofia jamaa-mwizi akishajua wamezaa mtoto ataona hana mvuto atamuacha[/li][/ul]
la mwisho ndilo nalikemea hasa. Kila siku za weekend wakiwa wamelala hasa jamaa akiwa amelala fofofo, huyu mke anapiga video call watsap kwa jamaa anamuonesha alivyolala uchi na jisnsi fala alivyolala fofofo…

with due respect dada zangu, please huu sio uungwana. Ukishaolewa tulia na kama mtu humpendi why unamdhalilisha? My rafiki nimemshauri sana lakini sijui kapewa nini hasikii yaani nimepunguza ukaribu kwa kiasi kikubwa sana…
Jamani tuwe na ustaarab.

Wadau nawasislisha

[ATTACH=full]141636[/ATTACH]

Why did the poor sod try to domesticate a wild bird? ~ (Read in Ozzy Man’s voice)

Shida ni wote wawili. The guy is in a position to end the whole thing immediately but amekalia mikono.

Conclusion: a wild bird cannot be tamed. Just watch it in the wild and leave it there.

Signed,
Metropolitan Bird Watchers Association.

[ATTACH=full]141639[/ATTACH]

Stamped, Endorsed and Delivered

Wild Birds Sanctuary Chief Warden

Enyewe wanaume wanapitia shida huku nje

wadau mbona hekaya ya kiswahili mufti ni kigumu hivi .

Mimi mwenyewe nashindwa kusoma…

:D:D:D

I’m ashamed to say this lakini hiyo hekaya nimeshindwa kuielewa.

Hii ni kiswahili cha wa TZ ama?.. Hakuna kitu nimeelewa.

Hiyo kiswahili ni mingi sana.

Nimefikisha mvuto…

Umesahau official stationery…
[ATTACH=full]141669[/ATTACH]

Naumwa na kichwa

Aisee ambia rafiki yako amkule tigo hadi akome

Hii kiswahili iko na kilo nyingi

[INDENT]Na kwani Leo hadi pink handlers wankuwa blue tena ?
My browser perhaps[/INDENT]