Wanawake wanaongea sana mpaka wanaboa

Litapwasi

Senior Villager
#1
Habari wanajamii forum
Katika kupitia mahusiano mbalimbali nimekutana na aina mbalimbali za wanawake lakini kuna wanawake wanaongea sijawahi ona.Yaani mpaka masikio yanauma,yaani hachoki kuongea na ukimkatiza tu ndio ugomvi unaanzia hapo,Je wana JF ushawahi kuwa na mahusiano na mwanamke anaongea sana?(too talkative)?
 
Jiwe Halisi

Senior Villager
#11
Kuna siku nimekaa na Manzi moja Mitaa ya Kimara Bucha,nilikuwa namuona mstaraabu lkn siku ile mpaka stimu zikataka kukata ghafla,Mtu anaongea kama Bar nzima mpo pekee yenu.Ikabidi nimhamishie chumbani fasta huko ndo alitulia baada ya kukandamizwa.Ikawa Mwanzo na Mwisho sikumtaka tena
 
#13

Alikunywa Balimi ngapi?
 
Top