Wanawake wanaongea sana mpaka wanaboa

Habari wanajamii forum
Katika kupitia mahusiano mbalimbali nimekutana na aina mbalimbali za wanawake lakini kuna wanawake wanaongea sijawahi ona.Yaani mpaka masikio yanauma,yaani hachoki kuongea na ukimkatiza tu ndio ugomvi unaanzia hapo,Je wana JF ushawahi kuwa na mahusiano na mwanamke anaongea sana?(too talkative)?

Too Much is Harmful hawa tunawaitaga matalumbeta ila wengi wao wanatokeaga uswahilini sana.

Ila mkuu mimi naona karibia wote ni waongeaji au nakosea

inaboa hasa wakat unatak kutulia na kufanya mambo yako mtu anakusemesha tuuuu…

wanaamini sana kwenye kuongea

Wanawake ndiyo walivyo…

Cc: @Mahondaw

Poleni, tumeumbwa kutoka ubavuni mwenu. So nyie ndio mmesababisha tukawa hivi.

wanaongea sana halafu hakuna cha maana hata kimoja

Mzabe vibao tu alafu tulia kimya

Ukiona mwanamke anaongea sana , wewe kaa kimya usijibizane nae kwani unapozidi kujibizana nae yeye ndio anavyozidi kuongea.

Dawa ya kelele ni ukimya.

Kuna siku nimekaa na Manzi moja Mitaa ya Kimara Bucha,nilikuwa namuona mstaraabu lkn siku ile mpaka stimu zikataka kukata ghafla,Mtu anaongea kama Bar nzima mpo pekee yenu.Ikabidi nimhamishie chumbani fasta huko ndo alitulia baada ya kukandamizwa.Ikawa Mwanzo na Mwisho sikumtaka tena

Hahaha
Sio wote bwana, mie mpaka wengine huhisi nawaogopa! Siwezi kuongea

Alikunywa Balimi ngapi?

hapo ndo unanunua ugomvi kbs… utakuja kununiwa ndani wiki nzima

Wavumilieni wajameni, ila mie sio mwongeaji kabisa hadi huwa wananiambia nina kiburi

Usijekuta wewe ni mke wangu, maana si mwongeaji kiivyo japo ni charming! Na baadhi husema ana kiburi:p:p:p:p

Hahahaaa, inawezekana mkuu, ila humu hatujuani tafadhali, usije ninyima uhuru

Hivyo ndivyo walivyo umbwa, na hata moja kati ya hitaji la mwanamke ni kusikilizwa. Kwahiyo nakushauri uwe unawasikiliza tu mkuu

Itabidi nifanye jitihada maalum kujua kama wife yuko huku, au tuseme nijue kama ni wewe,

Kuhusu uhuru upo wa kutosha, siwezi kuwa kama jiwe:p

hasa hasa wanawake wembamba dah hawa kwa kuongea ni hatari