Wanawake wenzangu ambao hamjajaaliwa "mawowowo" kuweni wavumilivu tu hili nalo litapita!!!

…ni upepo tu utapita, zilihitajika hips likapita, mara miguu ya bia likapita, zikahitajika lips nene likapita mara mwanya likapita, amini nawaambieni hata hili la wowowo nalo litapita.

Baadhi ya wanawake wanapitia kipindi kigumu kwenye huu upepo wa “neema za Allah” vigodoro na butt lifter zinakoma, jana bi dada mmoja kavaa zake kigodoro maskini hadi kimekaa vibaya yote haya ili aonekane na msambwanda.

Wanaume ifike mahali msimu wa misambwanda uishe hamieni hata kwenye manyonyo…maana yote haya ni sababu yenu.

usijali mdada tupo kwenye kikao tujue nini kitafuata baada ya hili ila kwa dondoo ni mapengo, kifua kikubwa/kidogo ama singo nyembamba ka za ile mindege inayokula samaki

Nasubir fashion mpya

wanaume ambao wapo kwenye kamati ya mapendekezo ndo wanafanyia kazi haya sooni tutatangaza hiyo mambo mpya ya mjini

Wanawake wanahangaika sana,halafu ukitaka kujua wanachanganyikiwa wakiyakosa,wakiwa wamevaa suruali kila mara lazima ajishike makalio…

wanajitesa wenyewe

:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p

Pole yake

Sababu ni wanaume

Wanaume wanawahangaisha

Nijikute tu namkosoa Mungu eti niwafurahishe wanaume, halafu wakishafurahi what next?

Mbona hilo timelikubali na kuanza ku enhance kile rulichopendelewa. Kama umependelewa sura basi Fashion Fair kidogo tu unayumbisha mtaa.

Huko kwenye manyonyo walishatoka.
Ila wanaume wanahangaika

Hahahah hili la wowowo halipiti hili lipo kinature zaidi.

Hili suala la Msambwanda sizani kama litapita. huko kwenye mwanya na miguu ya bia tulikuwa tunatafuta nini tunapenda, tumegundua ni misambwanda. Ila mi misambwanda feki yenye mabonde isiyoendana na mwili, iliyoshuka hadi mapajani hunichefua sana.

our nature bibie

ila wembamba watamu balaa k mnato na dude lote linazama

Kumbe?!!

Hahahahaha! Watahamia kwa wanawake wenye ndevu.

Najipenda venye nilivyo,.nikijua nawaziwa mema muda wote hata pale nnapokuwa nimelala…nihangaike juu ya nini tena mumu mie,…

Alhamdulillah kwa kila jambo.

Haliwezi kupita kirahisirahisi namna hii!
Raha ya w0w0w0 ulishike huku na huku ulitanue alafu uanze kusafisha mtaro mpaka kwenye K

Siungi mkono hoja