wanawake

My nduthi guy just opened up to how his wife has been cheating on him na jirani yake yaani unapigwa na baridi uki hustle-lia gaidi na yeye ni miti anapigwa. told you women are dangerous. Nimeskia ni kama mimi amecheat, karibu tukamnyoroshe pamoja

hahahaha… ata mimi nimeskia kauchungu hapo.

Boss na kazi ya nduthi lazma ubebe Amoxil, na unajua bei ya amoxil original…
Alafu unapata jamaa muhuni anakula pipi yako

That’s a shot below the belt man. Ferk them bitches.

I ride for a living and I can feel his pain…

Kunguru

For a man to admit that his wife has been cheating on him. Must have been painful…

Javanjee Pastor: " Wanawake ni warret, Pesa! Manee!"

very painful man, kwanza vile watu wa nduthi hupigwa na baridi whereas everyone else is under warm sheets… hujuma.
halafu hiyo time bibi anaanikia mtu thighs then kesho anakuitisha pesa ya salon…SAITAN

Shida kwani ni nani…si bibi yake ndiye ako na shida. Sijui mbona watu hawaonangi makosa ya bibi lakini wanaona ya neiba

Watu wa nduthi huwa hawakufi,huwanga wanapoa…baridi ikiingia kwa kifua ni hivo…
Heri ukuliwe bibi nausijue

Alijaribu kufuga kunguru. That’s it. Many have tried and failed

Watu wa kukamua kunguru za wazee pigeni foleni behind me.

hi rate ya watu kukamuliana inagrow

Kwani ni must wafanye usiku.

Our MP the swagmaster alitu reward na ma nduthi watu kadhaa Mimi yangu the guy works mchana area za Doonholm to manyanja road n he sends 450 kwa welfare account by 10 Sunday namwachia Mashini apeleke service. Usiku ako na Bibi yake pale umo3.

si poa

Karma is a Bi**h ukikamuliana utakamuliwa pia.

Mbona watu hufocus na mwenye anakamua instead of kunguru mwenye wameoa? I never seem to understand why people don’t address the cause of the problem - their wives. Women get hit on all the time, it is her who decides whether to dish out her goods or not. Mtu akikamuliwa bibi, kubali tu ulioa kunguru usilaumu fisi

Watu wa mjengo watasema? Ama kdf wenye huenda kurisk maisha yao wanawacha mabibi wakikamuliwa hadi settings na vijana mtaani na kukula pesa zao. Bibi akikucheza usilaumu wanaume, laumu kunguru wako juu yeye ndiye amekucheza.

vile @M2Random amesema hapo juu - blame the woman. back in 2013 I had a neighbour mwenye alikuwa jamaa wa nduthi. alikuwa na kafine girl wamekaa naye for more than 2 years bila mtoi. she used to work but sikuwahi jua ni wapi. rumours had it that alikuwa anakamuliwa na jamaa flani wa hiyo mtaa. to put nail to the coffin, one day she just left and flew to Dubai kuwa mboch. Jamaa wa nduthi hakuwahi jua dem alienda wapi but mimi nilikuwa namuona amevaa hijab kwa whatsapp. felt sorry for that guy hadi wa leo