Wasanii sasa wanaisoma namba... Basata kazeni

Sijuti

Village Elder
#1
Heshima kwenu wakuu. Miongoni mwa mambo yaliyonikera 2015 ni wasanii kutumika ktk kampeni za chama tawala tena walisema wanajitolea kwa moyo mweupe.
Tangia hapo niliamini kuwa hawaijui CCM. Sasa ninafurahi maana wameanza kuifahamu CCM. Nawasihi basata wakaze sana 5M haitoshi.. waweke hata 10M ili wasanii wajifunze kuwa tunapozungumzia CCM tunamaanisha nini hasa.
Ujumbe: EVERY ONE SHOULD READ HIS/HER NUMBER (Broken english)
KILA MTU SHARTI AISOME NAMBA

Nasema hivi maana wasanii waliuimba huu wimbo sasa inakuwaje wanataka kukataa kuuishi?

CCM ni ile ile.
 

park don

Village Elder
#6
sioni tatizo kutumika kwnye kampeni ile ni biashara na huwez chagua wateja... chamuhm waanze kupambana kwa wafanyabiashar wengne wapate hak zao...
 

Top