Wasanii sasa wanaisoma namba... Basata kazeni

Heshima kwenu wakuu. Miongoni mwa mambo yaliyonikera 2015 ni wasanii kutumika ktk kampeni za chama tawala tena walisema wanajitolea kwa moyo mweupe.
Tangia hapo niliamini kuwa hawaijui CCM. Sasa ninafurahi maana wameanza kuifahamu CCM. Nawasihi basata wakaze sana 5M haitoshi… waweke hata 10M ili wasanii wajifunze kuwa tunapozungumzia CCM tunamaanisha nini hasa.
Ujumbe: EVERY ONE SHOULD READ HIS/HER NUMBER (Broken english)
KILA MTU SHARTI AISOME NAMBA

Nasema hivi maana wasanii waliuimba huu wimbo sasa inakuwaje wanataka kukataa kuuishi?

CCM ni ile ile.

Sijutii [emoji3][emoji3]

Acha wale mikundu yao washenzi hao. CCM ishawatumia na kuwatupa. Pumbaaaavuuu

Toilet paper zimekwishatumika

Tena waliwakopa, wakiishia kwenda ikulu kula dinner, now naona wanatakiwa walicheue ile dinner kumbe haikuwa bure.

sioni tatizo kutumika kwnye kampeni ile ni biashara na huwez chagua wateja… chamuhm waanze kupambana kwa wafanyabiashar wengne wapate hak zao…

Mimi sikupenda lakini kitendo cha mil5 ni kubwa sana,kwanini wasingetoza kwa asilimia?

Nakakumbuka sana kale kawimbo ketu: Tumeipenda wenyewe, chaguo letu wenyewe, wacha waisome namba ee, CCM mbele kwa mbeleee…

Watapata tabu saaaana

Hahaha, watu mna maneno

Wazisome namba za lugha zote kabisa

Wamevurugwa,hahahaaas

TELELE TELELEE

Inasikitisha sana…

Cc: @Mahondaw