Wasee wa Offisi (CBD) promote boy wangu "Sanchez"(mobile food vendor)

Status
Not open for further replies.

Jirani

Village Elder
#1
For only 180 Sanchez will deliver this chakula right at your office door. Hapo unaweza ona ka pilau (na si pilau njeri) hii ni pilau iko flavored with coconut juice alafu ina tunyama nyama ndani. Hapo kando kuna Chapo..moto sana. alafu kando kuna ka kuku poa tuu sana (Mundu Mulosi tuko pamoja) alafu kumalizia kuna ka mukimo na kachumbari ya pilipili hivi na kuteremusha nii passion juice /Pineapple juice at an additional cost
njaas.jpg
 

Mathaais

Village Chief
#7
Ako na license ya kanjo ya hawking food?
Na ya public health showing he and his staff have undergone mandatory health checks.
And has his premises been inspected and certified as fit for handling and cooking food commercially?
 
Status
Not open for further replies.

Top