DHUMUNI LA MFUMO
-
Kuwasha/ kuzima vifaa vya umeme mf: taa, a/c, friji , feni, kwa kutumia SMS ya simu yako, uwe nje/ndani ya mkoa/nchi.UMBALI wowote ule.
-
Kuweza kupata feedback SMS baada ya taa kuwaka/kuzima.
-
Kuweza kupata listi ya vifaa gani vimewaka/zima kwa kutumia SMS.
-
Kuweza kuseti mda gani taa/friji iwake au izime yenyewe automatically kwa kutumia SMS.
mfano: unaseti 19:00 taa iwake saa moja usiku, 06:00 izime saa 12 asubui, kila siku
-
Mfumo huu hutumia SMS tu , hautumii INTERNET.
-
Simu aina YOYOTE inaweza kufanya control mf: Nokia ya Tochi, Smartphone, n.k
-
Mfumo huu hutumia line ya simu ya mtandao wowote ULE kukamilisha adhma zima.
ie: utachagua mtandao ambao una Excellent Signal Quality kwa eneo uliopo.
- Mfumo huu ni wa njia 8 utachagua vifaa vipi viungwe katika mfumo.
mathalani: nji1=taa zote za nje, njia2=friji, njia3=Ac, njia4=taa ya master, n.k vyote vikiwa HAVITEGEMEANI
- Mtumiaji ana uwezo wa kuseti Security Preferences , namba zipi ziruhusiwe kufanya control ili kuzuia ‘Hacking’.
PRODUCT/SERVICE PRICING
Kwa nyumba iliyozidi kipimo tajwa hapo juu , maongezi yatafanyika kupata package maalum.
KShs. 9200/- ( Package ya Njia 2 + Android App )
Hii Android App ni kwa watumiaji wa Smartphone , kama huna Smartphone utatumia mfumo wa kawaida wa kutuma SMS.
NOTE:
Ikumbukwe mfumo huu hutumia SMS tu na si INTERNET.
Aina yoyote ya simu itatumika sio lazima SMARTPHONE.
Huduma ya kuwasha na kuzima kwa SMS ni pahala popote/umbali wowote ule.
Garantii ya mfumo mzima ni MIAKA 2.
Kwa Mawasiliano zaidi tafadhali
+255 625 598 055 WhatsApp, Call and SMS
Automation Engineer
[ATTACH=full]125130[/ATTACH]
[ATTACH=full]125129[/ATTACH]