WASHA VIFAA VYA UMEME KWA SMS YA SIMU

DHUMUNI LA MFUMO

  1. Kuwasha/ kuzima vifaa vya umeme mf: taa, a/c, friji , feni, kwa kutumia SMS ya simu yako, uwe nje/ndani ya mkoa/nchi.UMBALI wowote ule.

  2. Kuweza kupata feedback SMS baada ya taa kuwaka/kuzima.

  3. Kuweza kupata listi ya vifaa gani vimewaka/zima kwa kutumia SMS.

  4. Kuweza kuseti mda gani taa/friji iwake au izime yenyewe automatically kwa kutumia SMS.

mfano: unaseti 19:00 taa iwake saa moja usiku, 06:00 izime saa 12 asubui, kila siku

  1. Mfumo huu hutumia SMS tu , hautumii INTERNET.

  2. Simu aina YOYOTE inaweza kufanya control mf: Nokia ya Tochi, Smartphone, n.k

  3. Mfumo huu hutumia line ya simu ya mtandao wowote ULE kukamilisha adhma zima.

ie: utachagua mtandao ambao una Excellent Signal Quality kwa eneo uliopo.

  1. Mfumo huu ni wa njia 8 utachagua vifaa vipi viungwe katika mfumo.

mathalani: nji1=taa zote za nje, njia2=friji, njia3=Ac, njia4=taa ya master, n.k vyote vikiwa HAVITEGEMEANI

  1. Mtumiaji ana uwezo wa kuseti Security Preferences , namba zipi ziruhusiwe kufanya control ili kuzuia ‘Hacking’.

PRODUCT/SERVICE PRICING

Kwa nyumba iliyozidi kipimo tajwa hapo juu , maongezi yatafanyika kupata package maalum.

KShs. 9200/- ( Package ya Njia 2 + Android App )

Hii Android App ni kwa watumiaji wa Smartphone , kama huna Smartphone utatumia mfumo wa kawaida wa kutuma SMS.

NOTE:

Ikumbukwe mfumo huu hutumia SMS tu na si INTERNET.

Aina yoyote ya simu itatumika sio lazima SMARTPHONE.

Huduma ya kuwasha na kuzima kwa SMS ni pahala popote/umbali wowote ule.

Garantii ya mfumo mzima ni MIAKA 2.

Kwa Mawasiliano zaidi tafadhali

+255 625 598 055 WhatsApp, Call and SMS

Automation Engineer

[ATTACH=full]125130[/ATTACH]

[ATTACH=full]125129[/ATTACH]

@xuma @xuma Xumaaaaa

1 Like

sisi tunatambua vitu za Kenya Pekee. Tanzania ni Meffi.

2 Likes

peleka jamii forum priss

1 Like

Muisi

that’s the laziest innovation ever. why would someone be so lazy to get up and switch on lights… it’s like those google self drive cars. if it too lazy to drive just take a taxi

Naam kaka!

Ukiona Uzi wowote una matumizi kama, ‘feni’, ‘friji’ na kadhalika kimbiza ubongo wako kwa lugha mwafaka.!

1 Like

Not necessarily lazy very hardy tool especially like the whole family mumeenda out n u r late to get back to home n u need to switch security lights on/off

1 Like

JUST PUT A FUCKING TIMER ON THEM AND SWITCH THE TIMER ON OR OFF DEPENDING WHETHER U ARE AT HOME OR NOT.

:):):D:D

!!