WASIOJUA KIINGEREZA MADEMU WA KENYA MTUACHIE SISI WATOTO WALAINI KABISA...!!

Mkaanze course kwa Ras simba si tuko bize tunaangusha ung’eng’e tu…!! Watoto hawakazi ukigusa tu imo…!!

kwakuwa chanjo ya ukimwi imepatikana

dawa kinga ipo…! Mkuu na huku wameshaanza dozi

Mhhh

Utakwa mkalimani wangu

Mkuu huo ung’eng’e siungeanzia kwenye uzi huu ili watoto wakenya wakuelewe

Hahahhaha mwenyewe naona mageni jamani

Ngoja waje

Mmmmhhhh, sasa itakuwaje…

Ahahahs hivyo hivyo tutafika tu, wapi moneytalk, @Shunie memuona

Atakuja, amesema mtandao unamsumbua

had tukizoea humu itakua sio mchezo

Tatizo ni kukosekana kwa App

Haahahahahhahaha

Ah namiis archduke tu hahaha ila wamejua kunikomesha nimekua nacheka napitia zile pages zao insta na fb wafanye namna either turud kule au iwepo namna members wale kule wawepo loh kama itawezekana

Mwambie ajiunge sasa

:p:p:p

Hahaha atajiunga akipata wasaa

Mwambie afanye haraka bana, mpenzi mtazamaji niko tayari hapa:D:D:D:D:D:D

Ahahaha:D:D nina wivu atapata mke wa kikenya sa hii anisahau bure

Kwani anajua kiswahili cha kenya:p:p:p:p:p