Watanzania wakaribishwe bana

Wageni wetu wapewa viti za kupendeza. Nakumbuka nilifika Tanzania walikuwa wananita “Kiongozi” kila mahali. Wafuasi wangu wakaribishwe vizuri. Wiki 2 zitazofuata ntakuwa kiongozi wenu halali mwenye kujali maslaha zenu. Ukiona umedhulimiwa kwa njia yoyote usiogope kunijulisha. Alafu mukuwe watu na heshima msije huku kupiga Kelele kuhusu utaratibu unaofaa kufuatwa na wanakijiji ilhali hata siku hamajamaliza huku. Ni hayo tu karibuni.

Kiongozi wenu
MadPhilosopher

[ATTACH=full]175284[/ATTACH]

Asantee sana mkuu

Hii mkuu inamaanisha nini mnashinda mkiropoka?

Hun Ata wewe una huu upuss??

:D.Sijui watu wameambukizwa ugonjwa gani leo?

Unakuwaga ni mpumbaf kiasi gan wew? Unakuwa kama ng’obe

Wamekuja na virusi vya swahili:D

Acheni u chokupai nyie

Nipo na dj afro hapa tunakula miraa

Mpumbafu,ngombe ni wewe.Takataka hii.Rudi mahali ulitoka.Jinga.

Imerekebishwa

Sweetheart am just ensuring my message gets across well :smiley:

Kind of sounds bad when you put it that way Mbwa :D:D

:D:D:DKiswahili kitukuzwe…

Niaje mrembo…si u relax the stance kiasi ata nikupeleke lunch this week

Nashukuru mkuu…

Alikuambia akulangi lunch?Hii mambo mimi ndio niushughulikia.Ebu jipe shughuli.

ahsante sana Mkuu tumefika

yaani the kenyans NV tunapewa viti na hii watu inawachwa tu bila kiti …waiguru nyinyi

Tumeingia tayar