Watanzania wanapenda UMBEA, Wakenya wanapenda NGONO

Screpa

Senior Villager
#1
Hii ni kwa mujibu wa research ya mwaka mzima niliyoifanya kwenye social networks/social medias, yaani watanzania umbea kwao ni kama chakula, wana timu nyingi kule Instagram zisizo na kocha, mara #TeamWema mara #TeamZari mara #TeamDiamond mara #TeamKiba sijui #TeamMobetto, ilimradi tu. Hata ukiangalia mambo yanayotrend U-Tube Tanzania mara kwa mara kama sio muziki basi umbea. Kwa upande wa Kenya sina haja ya kuelezea sana hawa watu 24/7 wanawaza ngono tu:D:D:D
 

Top