Watanzania wanapenda UMBEA, Wakenya wanapenda NGONO

Hii ni kwa mujibu wa research ya mwaka mzima niliyoifanya kwenye social networks/social medias, yaani watanzania umbea kwao ni kama chakula, wana timu nyingi kule Instagram zisizo na kocha, mara #TeamWema mara #TeamZari mara #TeamDiamond mara #TeamKiba sijui #TeamMobetto, ilimradi tu. Hata ukiangalia mambo yanayotrend U-Tube Tanzania mara kwa mara kama sio muziki basi umbea. Kwa upande wa Kenya sina haja ya kuelezea sana hawa watu 24/7 wanawaza ngono tu:D:D:D

U

M

:p:p:p:p:p

E

F

F

I

Research yako haijakaa sawa mkuu, watanzania wanapenda vyote viwili

sasa my dear @khakeni. Habari za Hungary? Safisha mecho yangu

[ATTACH=full]178314[/ATTACH]

safisha macho ya wanakijiji

Ni media nanii si medias…moja ni medium

Hii mashine quality kabisa.

my elder (put a Naija accent), this is sufficient for kawasaki escapades

Hawa wabongo wametuosha macho ama ni kelele na akina mama sokoni?
Nimepekua nyuzi zote na sijapata chochote.

Ngono na udaku vyaenda sambamba.

Tusafishe macho dada.

Kusafisha macho ndo nini kaka

Angalau tuma picha ya matiti na mapaja pale inboks nitashukuru.