water pump for sale

pkm 60 together with easy press switch, 8k,quick sale

Kama Unge uza hii pump hapa ungemaliza stock kabla afrojiri ya kesho
[ATTACH=full]263703[/ATTACH]

Hii ni ya kazi gani, forgive my ignorance.

Nikifika nyumbani nipate pump yangu haiko nirudishie tu.

He he he, Mimi sio mwici

Si utafute market kenyanlistdotnet wazito wako huko

How do you expect to sell shit na picha hauwekangi…

130kg of pure meffi utachomwa hivi karibuni usipoacha wizi.

kizungu ngumu baba? imeandikwa hapo kwa box

Inauzwa 6500 na Davies and shirtliff.
https://www.davisandshirtliff.com/shop/index.php?route=product/product&product_id=51

Ile mikebe ya rangi uliuza?

Wakanyamo! Mimi Niko serious Siku utapata kama hii roho safi tutaongea…iwe Caprari original.[ATTACH=full]263716[/ATTACH]

Hio kitu kwa duka ni 5k

There are mini pumps in Ali Express for as low as 1500