Watu ni wabaya aki

Tuko mahali tunakula kanyama.Najuu huwa hatuipimii iko mingi,sasa kila passer by anataka kuonja.
Mmoja ashanawa na kujipoxi anakula akitupea story za vile Sonko amehaicwo na Uhuru kisiasa,vile Murathe ata determine the next kingpin.Sasa one member ananikuna huku chini akiniambia tulipishe huyo msee.
Na ni ukweli anajiweka vilivyo,lazima ameodoa kama kilo ya wet fry aki.
Huyo msee anakaa kama @kanguthu ama @Randy the two baggers zinafanana
Msiseme ni umama inaniuma coz nime contribute mbesa mob ndio hiyo nyama ifike kwa sinia.

Ni hayo tu kwa sasa

[ATTACH=full]318846[/ATTACH]

:D:D:D:D
Atleast amewacha mia mbiri

mwambie Raila leo ameamua Ruto awe Rais 2022, yeye akae makamu wake. Chama chao kinaitwa R².

WAWERU UKO Joyand???

Hapana niko hapa LasCadada

Kimakia tiga gushambia people of Kiambu/Limuru rds. All I know is if you order meat in nyam chom joints, everyone is welcome to onja. This is not like a restaurant where we order by the menu and stick to it.

Nyama choma in some places is for all. I lose count of the many times we have been invited to taste by Team Mafisi huko Kiambu Rd…we taste out of respect and say thengiu.
[SIZE=1]It is our culture…mburi eno:D[/SIZE]

Aki wameonja karibu iishe buana,ata sasa members wamesema we change the location to Fiesta where crowd is well regulated.
Kuna watu wana take advantage of that culture,mtu mmoja anakulaje half kilo in the name of kuonja

Yaani corona times unaenda kula nyama na Raia enyewe hujipendi

Finest…umenijenga yangu yote…
Hadi my 1/4 half anashindwa nacheka nini.
Hehehee…no kaWetfry gatihaichagirirwoo Oo uguo.
No urihe bill

Lazima members wakutane,shida ni hawa wanajileta bila invitation,anywho tushatoka,uko wapi nipitie

Tamuire uguo.

Angikona akirekwo ahaiciriree ka wetfry amenye arerwo nake eharirie gutuika wet at some point

Atee who? tiga ithako.:DKimakia is being mean…with nyama. Korwo ni muiretu ukureaga ndungiamuona haha…angiuma busy akiuga eee karibunu uka mutujoini…:smiley:

Nie njoyaga kanyama kamwe tuuuuuuuuuuuu. And I say thanks loudly. Ndagashonoke agishoka metha yao na tray.:smiley:

Ohh gukuira uya kangi…na kangi…na kangi…muico wikore na ngirathi ya double na mistari ira rhyme ta sirii

Nugu, sasa nyama ya mia nane ndio infanya unitaje to make it worse umecost share… kweni wewe ni safara ya wapi?

Hehehehe

Niaje fundi fake huwa nakutaja ndio ukuwe famous

I definitely don’t need your help to be famous… i dont associate with faggots.

What are you eating for breakfast…mbona unakaa kuwa na furaha…