watu wa eastlands hii nganya yenu imeanza kazi.

Status
Not open for further replies.

kiLo-

Village Elder
#14
by watching those nganya pics , nime realize nisha zeeka !
from teen years nikipanda no.9 the likes of Orlando Magic , chicago Bulls , Mad cat , Shaq & the rest
Kumbe wewe ni wa kwetu? Nazikumbuka hizo umetaja. Total madness ndio mad cat eh? Alafu kulikua na fido 1, Jordan (not Chicago bulls), baby coach, Humpty Dumpty, night nurse, Red Sea winner.... Tumemanga chumvi, mzeiya
 
Necrow

Village Elder
#15

Haha ... Naona tumegrow hoods same. Mathree culture !
 
Last edited:

junkie

Village Elder
#19
Kumbe wewe ni wa kwetu? Nazikumbuka hizo umetaja. Total madness ndio mad cat eh? Alafu kulikua na fido 1, Jordan (not Chicago bulls), baby coach, Humpty Dumpty, night nurse, Red Sea winner.... Tumemanga chumvi, mzeiya
Uliluwa enzi za golf club??lakino hiyo time nilikuwa junior.zangu zilikwan kappa na heaven on earth
 
kiLo-

Village Elder
#20
Uliluwa enzi za golf club??lakino hiyo time nilikuwa junior.zangu zilikwan kappa na heaven on earth
Golf club naikumbuka. Ilikua na hockey sticks mbili zimecross kwa kiio ya nyuma. Zikitokea same time na fido1. Tulipoteza wasee kadhaa wa jahmu kwa hizo matt from kuhang. Msee moja alistabiwa na konkodi moja by the name tz.
 
Status
Not open for further replies.

Top