Watu wa industrial area

#6
1.Panda gari za Sacco inaitwa Outreach. Huwa zinaenda Lungalunga. Ziko hapo Muthurwa. Zikuweke kwa junction ya Likoni Road na Lungalunga Road hapo kwa Haos of Manji halafu kanyaga kubwa kubwa straight ukienda kwa Inspection Unit.

2. Panda gari zenye hupasua through enterprise road mpaka mombasa road. Zinapandiwa hapo city stadium -pande ya lusaka road, sio jogoo road. Nimesahau jina ya hiyo sacco. Yaani Sacco siku hizi ni more imprtant kuliko namba ya route? Anyway, watakuweka kwa junction ya likoni na enterprise road. Again, kanyaga kubwa kubwa straight ukienda kwa Inspection Unit.

#MimiSioMtuYaIndustrialArea #IJustKnowMyWayAroundTheseHoods #NoogleWewe.
 
Penologist

Village Elder
#7

Town center hakuna Mimi no msee wa waiyaki way

Hakuna vile naweza connect from msa Rd?
 
Okiya

Village Elder
#9
Panda 58 matatu from commercial and alight at a place called posta along jogoo road. Cross the road and board any matatu and alight at house of manji. NTSA is 100 metres from there
 
Top