Watu wa jua Kali munaniangusha banae

Sijawai ona bathtab ya juakali, ya mabati…

Kwani ulitoka Gishagi lini?

Sijatoka nv

well, good for you. Ndio maana hujaona bathtub ya mabati
[ATTACH=full]244347[/ATTACH].[ATTACH=full]244348[/ATTACH]

Locally made ghaseer kalia izo na hii baridi

define local, Gishagi bouy.

pale pumuu kijey kila mosque ilikua nayo ya kutumbukiza maiti ndani sa ya kuosha but also used in the slum areas kama hujiskii kuenda kwa bafu ya jamii,problem ni ilikua haiezi lala ndani ya nyumba ju ya space so kama uko na mtoi,crib pap otherwise unaiwacha inje kama umeikula nyororo na kifuli.Option C ilikua uweke kwa zile mbao za roof (runners),ole wako labda paka ilikua inapita alafu igonge bathtub idunde ama ikudundie ,either way ni nduru utatoa kama ya kasichana ka std 3

Ati crib!!!

hii ni kama ya game of thrones.

ile ya nyangarika kulalia,unafikiria nini totoo,simaanishi nyumba?