Watu wa Kinoo...

[ATTACH=full]143278[/ATTACH] [ATTACH=full]143278[/ATTACH] [ATTACH=full]143280[/ATTACH]

[ATTACH=full]143281[/ATTACH]

That last one for the waitress, is proof that ALL statements made above are incidences which are preplanned inside jobs.

Shiny eye territories

Na mnasemanga Kayole ni kubaya.

Hessy wa Kinoo why r u sleeping on the job? Kill these parasites so that residents can breath easy

:D:D:(

Bet yangu imeungua… Yaani shaktar can’t at least get a goal away :D:D, hata 0.5?o_O

some of us are ‘happy’ because we let some stuff slide despite what we have gone through. But because we are above earthlings,let it roar…

Kazi ya watoto wa landlord wale walikataa kusoma kazi ni kutegemea mali ya mzazi

Hii ndio shida kubwa na hizo areas…alafu hao watoto huko ndio ocha kwao so you will always be an outsider

hiyo ya boy alipigwa ngeta jioni alafu anapata ka bed sitter kalitembelewa mchana ni serious:eek::eek:

kwani ocpd wa hiyo area alitolewa na venye alikuwa anaangusha watu naskia ati alikuwa anachoma mahindi kisniper

Haiya Kinoo used to have a hessy chini ya maji, he had cleanrd tgat place of thugs completely, it appears they are back with a thud

Si watoto wa landlords, ni watoti wa veterans ,wenye waliuzia landlords mashamba, these kids quit school even at primary school level

hapo 87 stage i saw a jamaa jump in front of a car on the highway. what was supposed to happen was the driver would apply emergency brakes hit the guy slightly halafu hao maboy extort him some cash. this seems to have worked severally but not on that day. jamaa aliruka Mbele ya gari, gari haikusimama ikapita na yeye. what happens next is the guys start protesting ati mtu wao amegongwa na gari haikusimama which creates a jam halafu robbing of motorists follows

hahaha @Ibwit what say you? There was a time a friend anafanya safcom aliniita tukaenda hapo so called “country club” around 87, after kulewa usiku the bouncers conspired with thugs and we were robbed at gun-point. One guy who we were with ran and hid under the trucks hu pack kando ya barabara. Ilikua siku mrefu. I had locked some good cash kwa mshwari lock account karibu wajaribu kutu kidnap ndio the money matures. wacha tu. Hadi siku hizi I delete all mpesa messages wacha waende na simu

Used to stay there with a relative kitambo (magana). We experienced a similar scenario, where thugs started breaking into houses starting from one near the road. They were about 4 rental 1 storey buildings.
After they broke into the third one, tulihamia zimaa the following alfajiri since we were obviously the next target.

na most of them ni junkies
I stay in upper Kafete but so far sijaskia story za wizi huku

December and the usual crimes spike. Law enforcement usually have a hectic time dealing with criminals wakitafuta za Christmas.