Watu wa kubet kujeni apa

Watu wangu si tufungue group for convinience.ama mnaona aje ?

Wakenya na whatsapp groups… Esp wa Facebook. Hamwezi kaa kiasi before mtu assugest whatsapp groups. Anyway all the best

Whatsapp ni wewe me napiga hesabu ya telegram juu me hupata games poa poa and i share wth my friends and we all win

Lete bet za leo kwanza

Kwani whats the issue ukiweka hapa? Lazima ikuwe Whatisapp na telegram? Tume-lobby hii category iwekwe ndio watu wajimalize kwa urahisi:D:D:D

2 Likes

Tuwekee hizo games kwanza tujue ka ni worth kujoin telegram

1 Like

Anika games! Halafu I would like to thank @The_Virus for kuleta motivation ya Bet365. I tell you that site can give you the feeling of using Uber vs normal Taxis if you had been using akina Betin na kadhalika!! it is super awesome! kwanza hiyo feature ya cash in!! I am happy. Thanks buddy

3 Likes

You are welcome bro, bet365 ni poa, so many games so many options and of course the cash out halafu they accept Kenyans unlike other sites.

1 Like

Nakumatt card naeza pata wapi?? Ni naakumatt branches pekee ama?? Juu ii place niko…niko far na Nakumatt super

kuna nationhela visa card pia

Naipata wapi???

nation media group offcies ama dtb bank inacost 500

1 Like

Thanks man

Kuna ingine ya naivas inacost 50 bob but I have no experience with it

Ooooh acha ntaulizia ii naivas card

Naivas card iko chonjo juu iko linked to chase bank. Nani ashawai itumia kwa bet365 manenos?

[ATTACH=full]29940[/ATTACH]

1 Like

c mtumie skrill. kufungua ni free

1 Like

before nilale, natuma maombi hiyo ya Primera Division isikuangushe! Good luck

1 Like

ilianguka