How city cartel rakes in billions from matatu owners with police help
Watu wa matatu wana shida mara tatu.
1: Driver na makanga
2: Polisi
3: mungiki cum extortion gangs
Sisi watu wa Macodofia hatuna hizo shida. No brokers, no police, no kanjo.
Hata team mafisi walishindwa Na sisi team Macodofia
Cc mguu tatu.
Na mechanic
kwani watakuwa wakikula za ofisi alafu wakule za matatu pia…aich!
1 Like
I know of a police officer in Nakuru who collect ‘fees’ from Matatus .3k per vehicle. When drivers see him, wanapiganga corner zingine sharp mbaya.
…umesahau mapokoste…