Watu Wa Train

Nani hapa ni member na hutumia train daily or at least regularly to and from town?
Especially wale wa Ruiru Kahawa. How is the train ride and service?

Does it overcrowd?
@wildfrank I noticed ulikuwa member back in 2016. Bado uko huko?

Kazion kameni beba high school mbaya. Kazi ilikuwa kucheza hide and seek na conductor juu ya ten bob.

:D:D:D… buda kweni ulikua unasomea izo highschool za tao zenye wanafunzi hawakanyangi kwa kwa class.

Last time nilipanda was in System kazi Ni kushuka na kupanda kila stopover just to avoid paying. It is always crowded but by the time if Dandora, watu huwa wamepungua significantly and by the time ifike Mwiki, Githu na Kahawa inakuwa almost empty.

Pale imara… It’s a daily commute…

Na,si nilikuambia wewe ni hasora ukakasirika. Mbona ulikasirika?

Nilikuwa Oxford Junior High School. :D:D:D:D

Maten alikupatia 6 of the best after kukusomesha Bibilia then ukadandia murram ya Rose ukaingia class ya Mwelesa ukiwa half asleep

Mahashara alikuwa mtiaji khasia yeye. Rose iko siku tumepasha yeye Hadi akaandika resignation letter na kupeleka Kwa Owuor.

Wewe vile unajiita kukuru kakara kwani unatumianga farasi?

After form 1 I had to leave that school or I was going to die of food poisoning juu ya chakula ya Rose au stress za Demba na Maten. The guy who washed toilets was a pedi. Ndom ya kwanza ni yeye alituuzia :smiley:

Mimi huko nilikaa 4 years. Huyo maten juu ya kujipiga kifua hajaoa bado. Bachelor @57 years huyo ni team aramis. Huyo akaenda sperm donation anaweza jaza ile superdrum ya 70 litres.

Wewe uko na pesa? C uoshe mavi na unyenyekee boss

Do you know why he was so bitter in life? During the Kenyatta presidency in the mid 1970’s Jaramogi, Railas dad, had helped him and many young Kenyans to go to Russia to get University education. That was during the cold war era.
USA knew that Russia was attempting to indoctrinate young Africans into communism and threatened Jomo Kenyatta and other African leaders to recall their citizens from Russia or the aid would be withdrawn and their governments would be overthrown by CIA. Africa was too poor and as you know, mwenye nguvu mpishe. So of course Ma10 had to cut short his studies and start over life in Kenya. With no degree and no money he had to resort to the only job he could find and that happened to be teaching.
He taught for years in a nearby primary school as he was taking some courses. Once he finished he got promoted to ojhs in 1989. There he established himself as the school counselor, discipline master, football coach and Kiswahili teacher. I think he had big hopes for life until everything came crumbling down. Maybe that’s why he remained single. He was an odd character.
I was neighbours with the footballer George Waweru so I got to know many things about Ma10 even after I left the school.

:D:D:D:D wear me down… pussy niggah. Wear me down.

Hahaha!! Dunia ni small, small. Waweru mwenye bro yake alikua ndingo? Kije**?

Huyo huyo was hapo JCB

Thanks for the insight. Kwanza he hated politricks mbaya. He used to see everyone as an enemy. Kwanza alikuwa na spies wanakuchunguza wanampelekea story.

Their mom was so kind to me, years after I left bado nilikua narudi kubuy tunini… kwake.

He made me hate school. Sikuwahi kuwa na starehe. Always stressed because noma zilikuwa zinatokea any direction.

Huko maisha ilikuwa hard but watu walikuwa roho safi. Huko ndio disco matanga zilianzia :smiley: I think