Watu waachane Na Bhangi

[MEDIA=instagram]BhyuuU0gw0A[/MEDIA]

Jojina makena has beat you to it.

niaje MKIA

Poa mkubwa!

nunua gibleys leo omwami

Niaje @Uwesmakei?

Itisha na bill yangu tuma paybill

Wah! This is just sad.

Majamaaa…

Ona sasa.

Kama wewe ni mwanaume na unataka kuruka ball, usizae ni mwanamke ambaye ako broke. Tafuta mtu ako stable, stable business woman ama midlevel executive hivi…kitu kaa hiyo. Hapa nafikiri jamaa alidunga mwanamke mkebe ball halafu akaruka. Mama amemzalia binti na akakosa kumweka vizuri. Binti sasa akianza kufika ile age, anaangalia mazingira hivi, kichwa inaruka. Akili inamwambia lazima UK ndiye babake!

Saa hii singomatha amekula maisha akaona Uhuru pekee ndie anaeza muokolea. Hehehe

Sii angeenda statehouse badala ya hii drama yote?

Uhuru’s “Daughter” alikamatwa[ATTACH=full]167160[/ATTACH]

Anaharibia Prezzo jina. It had to be Kilimani police patrol! Gari safi sio Murugaru. Na pai anaendesha na swag. Heheheeee…

Bwana Johnson chunga unharibia wamama wa kilimani jina. Unaona hiyo lable?

Hio Sheng ya pai niliisikia last 1999. :D:D:D:D:D

Hiyo ni sheng ya 80s baana. Alafu pia “ponyi” na “sampa” :smiley:

Nimeona tuko wengi:D