watu wanaweza fanya uende jela na murder

imagine jangili zingine zimengoa beacon kwa plot yangu ati sasa wanatumia tape measure kupima yao,kesho kitaeleweka ,mkinikosa mjue nimeua watu na niko jela

tunangoja clip ya hio royal rumble

Wakameant x- bae wa betty amekuondolea competition mpaka hauonekani izi mtaa…

:D:D:D:D Actually leo kuna watu nimepata hapo nakuru nairobi highway wakipima plot na tape measure. Kama ni hao invite me. I will handle the young fella. Wewe deal na hao wazee wawili.

Mbona unangoja kesho ndo kieleweke, deal now sahii sahiii, unangoja waende ndo ufurishe hiya tumbo??? then beacon nilikua nadhani ni PORK banae

Haunanga kitu maskini wewe kazi nikuomba pesa na mkia hapa, waking’oa ulikuwa wapi? Sema Ni kazi umepewa ya kuvuruga.

for those asking, anangoja kesho juu langata cemetery imefungwa saa hii

Liwe liwalo, wataona motokubwa

Hehehehe wameona huwatishi na hiyo 130kg of pure…:D:D:D

Msemaye kesho ni muongo…:smiley:

Wanangoa beacon Usiku? Nyoosha watu.

msema ukweli ndiye huyu, liwe liwalo siendi kortini[ATTACH=full]249066[/ATTACH]

nitaonana nao,

muosha tunyanye kesho kitaeleweka

Hiyo RIM ni ya wapi na ni sheet gani?

Apana…ngoja wajenge ,umbomowe, wakijenga unambomowa !

Itisha back up ya 130 kg pure arab muscle. I also have a gun for hire

ni cadastral plan

fiti mtu yangu

@Motokubwa unajiongelesha kwa nini?

because I can, any other questions?