si watu ni wanyama,leo katika pilka pilka zangu mtaani nimekutana na jamaa amekatwo kwa shingo ati ni mwizi wa simu,si hata afadhali wangeua yeye kuliko kukata na kuwacha aende ,alikuwa anarudi pale alikatiwo ati hao majamaa wamuchome.mimi nilimupeleka health centre na nikamuwacha huko