si watu ni wanyama,leo katika pilka pilka zangu mtaani nimekutana na jamaa amekatwo kwa shingo ati ni mwizi wa simu,si hata afadhali wangeua yeye kuliko kukata na kuwacha aende ,alikuwa anarudi pale alikatiwo ati hao majamaa wamuchome.mimi nilimupeleka health centre na nikamuwacha huko
The other side of Wakameat. Umefanya vizuri, barikiwa.
Wapi mbicha kiyana…
[ATTACH=full]10162[/ATTACH] [ATTACH=full]10162[/ATTACH]
pole kwake
BILA MBICHA WEWE NI MUNGIKI TU
uncle kwanza huyo jamaa alikuwa mluyha ,
Waluhya si wezi wakikuyu ndio wezi
you know the drill…if there is no photo then it never happened
Wakanyak’s huko sure it was not your other personality that sliced uncle ya uwesmakende, and after you switched back you thought ooh snap! Watu kweli ni wanyama
Picha ya mtu amekatwa shingo mnataka kufanyia nini? Kuwank nayo?
below the belt:)
Ama ni uncle mundu ulikata we munguki
kiherehere ndiyo utawacha
COOMER wewe mungiki
Hata nashangaa…kwani watu ni nini kama si wanyama?Kwani wengine ni plants?The last time I checked kwa dichotomous key we were classified as Animals. Our behaviour and mannerisms ndio zina vary mtu nguyaz!
New villager hafai kuongea boss unakunja makende na kuangalia
vile @ekamsweu amesema…una ujuajiiii
Bullies wa mtaa let the villager be
Inaitwa initiation ama kuwekwa governor…hukuona wengine walikuwa wanaita watu niccur left, right and center?