Watu ya degree kujeni mbio.....

:D:D:D Anasema hailipi
[ATTACH=full]499201[/ATTACH][ATTACH=full]499202[/ATTACH]:D:D

He go enterprenuer gymnastics if he wants six figure salary.
Yake ni theory enterprenuer do practicals.

Hii ni ile njaruo ya strathmore inafundisha watu biashara. Anangonja nani afungue biashara ampatie 6 figures ? Smh

Degree ni kartasi

Hizo undergrad zote angefanya tu moja ya maana awachane na hizo kucheza mieleka na akili yake.

Nowadays kila family kuna mtu ana some kind of a degree:D

Angefanya stem. Eh BSC math aongeze CPA. Angelus mbele

Angefanya stem. Eg BSC mathematics aongeze CPA. Angekua mbele

I don’t blame him. Anyone born between 1965 and 2000 in Kenya was sold the false idea that more education translates to more money, when it’s actually more knowledge which translates to more wealth.

His degrees are in stupid fields from non reputable universities. Degree sii ya kutafuta kazi ama kupata mihela. I will not tire in telling you this. Academia is not purposed to make one rich per se. Application of acquired knowledge ndio itakutajirisha. Kama hio ng’ombe hapo juu. Inajigamba vile ako na degrees za Management science na sijui strategic management but anataka kuvaa suti za nylon na viatu za plastic aonge kizungu kwa biashara ya wanaume wengine. Umbwa yeye.

Mnafunikwa macho. Dude makes a killing from consultancies. Have you ever come across any lecturer who reveals his true earnings? Wote hujifanya vile wamesota yet they are making some very good money.

Contrary to popular belief, consultancy sii mingi and lucrative as someone might want you to believe.

Haujaona yule wa Math na CPA with a barner akihawk mayai boyro?

Nope. Wapi?

[ATTACH=full]499388[/ATTACH]

Goddamn

Kenya is hard.

Aache kupenda attention sana. Lecturer wa Job Group 12 kwa university yyote ile ako na six figure basic salary.

Kama mshahara yake anakula na students shauri yake, aache kusumbua wakenya wengine.

Analipwa poa. Employer wake anafaa amchukulie hatua za kinidhamu kwa kusema uongo mbele ya umma ilhali analipwa poa

Na by the way, sii hii ng’ombe ndio bibi take alikufa wakicheza kalongolongo kwa nyumba?

Well said.