Watu ya NDUTHI

Punguzeni pararey kazini[ATTACH=full]66429[/ATTACH]

Huyu alijikuta amekubali kunyofolewa when the nduthi guy demanded his slice…

She doesnt know that watu nduthi ni watu wa dryspell major

:D:D:D

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

kwa hivyo wakanyama sio butcher ni mtu wa nduthi?

:D:D:D:D:D @kush yule mnono ongea na watu wako

Hehe …

([SIZE=1]umama kiasi[/SIZE]) Juzi neiba amechapa bibi sasa wakati bibi anahepa kesho yake nikaona ameita nduthi tatu; moja ya kumbeba na mtoto na zingine mbili mizigo…ni kama wamama wakizoea nduthi they never think otherwise juu kila nduthi from my place to town ni 70 na taxi angelipa 150…

:eek: