wazee hukumbuka

m245

Village Elder
#1
i was just walking on some old streets hapa and came across these
1563547773982.png
hahaha sijui what the context was lakini its funny

this would be a great comeback,sustainable? i dont know
1563548228897.png

ogopa wanaume KIKO i think ndiye alirudi kama kadinya
1563548374090.png
 
mboyshaond

Village Elder
#3
:D:D:Dhehe .... umekumbusha mimi mbali sana....Ungejaribu kupost ata ikiwa funny aje manugu zinalenga.Mi hadi wa leo hua natafuta klist.
Those wenye wamejoin juzi hawajui utamu ni nini..We even organised to meet na nyangau zingine which happened to be fun. @shoti_mzito can attest to that..but walinitenda:mad::mad: sitasema nini walifanya.
 
mboyshaond

Village Elder
#4
After kujoin hapa pia after some time watu wakaendelea kunidiss na iyo story and had to change handle last year....ladies huko walikua wanavuta bangi juu post zao wooi....kama ulikua lister tunafaa tuorganise kamahali tufurute busaa...tumetoka mbali sana.na msiseme maanzoni.
 
m245

Village Elder
#5
:D:D:Dhehe .... umekumbusha mimi mbali sana....Ungejaribu kupost ata ikiwa funny aje manugu zinalenga.Mi hadi wa leo hua natafuta klist.
Those wenye wamejoin juzi hawajui utamu ni nini..We even organised to meet na nyangau zingine which happened to be fun. @shoti_mzito can attest to that..but walinitenda:mad::mad: sitasema nini walifanya.
haha fungua roho msee, lakini klost ilikua inataka msee toughskin utusiwe hadi waishiwe na matusi ama wakuzoee
 
Top