Wazito,mtu hudaisha bibi deni aje?

Nilikopeshana some pesa 3 months ago and i was promised ati doh ya chamaa ikiingia nitarudishiwa.Sai ni 3 weeks tangu pesa ya chamaa iingie…Sikuambiwa but iliingia but nilijua juu ilikuwa ingie mid june…Pia naona njumu msichana ameongezea several pairs za designer…I know nafaa nimuitishe juu huyu dem akiwa na pesa excess kutumia hafunzwi…

Hii ni pesa naonelea niitishe ikae tu kwa “family coffers” juu otherwise it will be squandered in two months or less…Lakini sasa kizungumkuti ni vile nitaitisha…Na dem ni kama “amesahau”…

How do i drop hints/clues ? Or do i go the direct way?

[ATTACH=full]312882[/ATTACH]

Mwambie afanye shopping na hio pesa. Hawa watu ni burukenge zaidi when it comes to money.

:D:D:D Hupati ng’o. Remember she chewed her bank statement a few months ago?:D…amekusoma. You spend money in drinking holes and on other sexual escapades.

Sahau tuuuuuu…she outsmarts you all the time dude.

Just assume uliweka bet ikachomeka… Hio pesa imeenda kabsa

Apo nayo utangoja sana. Kugawa responsibilities is the only way

Patia askari 1k, then ushikwe uitishwe exact amount ndio uachiliwe… Pigia Bibi simu

Hio kitu imeenda pwana, we endelea kumwaga ndani kama kawaida…bila makasiriko!
Wachana na izi mambo mingi,ukiamua kukua na mwanamke hua umekubali kukua mjinga!

:smiley:

in house are better handled inn house elder…imao to imano…my opinion

:smiley: Ilikuwa how much? Heheheheee… Kabla hujapea mtu pesa, kwanza utampea pesa kama ile unatumianga kuweka mafuta kwa gari unaenda mahali for no particular reason other than leisure… Halafu unangojea ile siku mliagana atarudisha. Ikipita usidai hiyo pesa. Na usiwahi dai hiyo pesa. Na hata akirudisha bila kudai, kama amechelewa, usiwahi mpea pesa. Ever. Hata kama anakufa.

yaani unachekelea big bro akidhulumiwa

nimekubali…ishafanyika makosa…but there’s this one time she refunded…though at the time she was borrowing i lied nimekopa kwa maich…so she knew maich anaexpect tumlipe

ubaya ni ati askari akikugeuzia wakati pesa imetumwa aseme anata50/50 ama atoboe

umeoa lini:D:D:D:D the only resolution ni ungoje apate kakitu umpige ngeta then run home kabla afike to console her…

huyo na mwizi hakuna tofauti banae.fukuza yeye

Waah hio ni noma size ya noma. Pole mzito

Your money is our money. Her money is hers.

She is eagerly waiting for you to drop a hint or drop a clue…Hapo ndio utajua maana ya “The ting goes Skrrrahh, pap, pap, ka-ka-ka”