Wazito wa Kitengela

#1
Nimejipata hii mtaa....waaa si kumegrow sana.

Na kumenyesha sana...niko na swali moja ni base gani poa ya kurelax kutembea hivi hivi. Place green green hivi with some good space to spend a day.

Asanteni!
 
DI TICHA

Village Elder
#5
Nimejipata hii mtaa....waaa si kumegrow sana.

Na kumenyesha sana...niko na swali moja ni base gani poa ya kurelax kutembea hivi hivi. Place green green hivi with some good space to spend a day.

Asanteni!
Sasa sababu unatfta place green ivi ivi ya kutembea ivi ivi siwes jua...

But kurelax last time I was there ni wakati Club 411 ilikuwa kusema hiyo mtaa.. Nomads ikamalizwa... Do they still exist..?? They weren't bad though.. Chapa beer mbili kwa the new One watakueleza places...
 
#12

Tembea uko happy valley...pombe enda 411 ama T.tot ama Tarino
Hio 411 nimeitambua
 
Top