Weh, is this too much time...

Or too much information/learning with no purposeful outlet, ama ni kuwa creative/innovative?

Jazzlady amenichelewesha kawaida na routine mingi ya wanawake nikaamua nipitie kwa sinema ya Sergey Brin na Larry Page nikienda kutafuta fingerstyle bassists vile wanaua covers

https://www.youtube.com/watch?v=Mkw8ssXTpcA

alafu nakutana na hizi…

https://www.youtube.com/watch?v=lDCnl2ESMg8

https://www.youtube.com/watch?v=-0gED3rn2Tc

https://www.youtube.com/watch?v=qcKSFEtwyLw

https://www.youtube.com/watch?v=MEexbOjo3Yw

Weh, I’m flummoxed!!! Najua prominent guitarists who can’t do what that guy in the streets is doing. (wacha niwache kuwekeleana, hata mimi siwezi) Hao wa pipes ni zile huwa tunatumia kufanya plumbing ya sink mtu anajua kupata the right length and bore itaproduce a certain note when hit. Ingekuwa huku Kenya mtoto anajaribu kufanya kitu kama hiyo hata kabla hajamaliza ya kwanza angekuwa alishaitwa mwenda wazimu ama viboko zishamtembelea kitimba.

Future Jazztoddlers. Sitanyonga creativity yenu lakini mulete vitu za maana.

5 Likes

[ATTACH=full]78267[/ATTACH]

1 Like

Kuna ile ya mama mwafrika

1 Like

Yaani bass guitar huwa na nyuzi zilizolegezwa kiasi hicho?

1 Like

Napenda last pipe music clip

1 Like

Let me go look for it

Huyo I think anatumia string special ama ni video effects. Hiyo vibration was too slow

https://www.youtube.com/watch?v=I5F59PkcDWM

2 Likes

I remember this one. Funny bit was that supposedly drunkard at the background. Nice piece of acoustic south African piece maybe Zimbabwe