WEIRD ADMIN

Thread ya @Panyaste about a kid in police cell iko na ubaya gani umengowa ,leo ni Sunday wacha za ovyo rudisha hio thread.Midget Kwa hio thread ulikuwa umebeba talkers hadi wakakubali kuchunishwa skuma, that’s not a cell but a reporting office , visit any station report office zimejengwa hivyo for security purposes.

Niliona imengolewa nikashindwa ni makosa gani nimefanya

oooh okay

Rudisha hio mbicha hapa sikuona ubaya wa hio post yako.

Hapa nakuunga mkno mbona huyu Admin ingoe thread yako? ama alitharau ufupi yako?

wata nituma siberia… unajua wewe ni VIP/elite talker huwezi tumwa huko lakini watu kama sisi tunatumwa

Huko Guantanamo wenyeji wakungoja

Idi Amin ako na utoto sana of late!

Hata nlikua nataka angusha hekaya juu ya boredom along these streets lakini wacha ikae.