Nimeenda hiyo club 64 Kimathi street nikapatana na kunguru inaniambia tuzae mtoto. I’m a little tipsy right now nko kwa uber nikienda home. Sijawahi toka club mbio ivo, and I thought nimeangukia nichange diet Leo kumbe ni slayqueen inatafuta mtoto. Wacha ibaki story tu. Not again! Haja yangu kama fisi ni pudesh nikiwa nimeondokea if you mention kids siko hapo. Wanawake wa siku izi don’t care who they sire kids with ndio inakaa. 3 hours za ulevi na mjinga anakwambia umpee mimba.
Tema mogoka Enda home. UkiEDIT tutaweka orichinol
[ATTACH=full]229566[/ATTACH]
M2random you are a weirdo
Vipi mdau. Kazi ya úber unaiskuma
Poa sana lakini niko OLX si uber
Kwani huwa unafikilia Hapa una deal na watoto wa nursery?
[ATTACH=full]229567[/ATTACH]
Mutura ndom the only man in kenya with so excellent genes hadi kunguru hardened hardcore wa NBO wenye wanameza P2 kama ARVs wanachange lifestyle na kutaka kumzalia. Must be a lucky ninja this, right, dont u think?
Hohohoho:D:D
Tuliza kende baba, wank polepole siku imekucha
Jana ulikunywa jugs ngapi za keg?
nakunywanga kikombe moja once a month jug siwezi maliza
Sawa meno brown
Ama ulikuwa unataka kunininunulia jug?
Sio kila MTU wankaholic kama wewe kababa. You are single and lonely at 33 so huwes nishow any.
[SIZE=6]Sema Ukweli ulikua unakula jaba hapa si club 64
[ATTACH=full]229575[/ATTACH][/SIZE]
Wewe waiter wa club 64 wacha kusumbua anyway your dreams are valid.
Hujaambia brown skin vizuri…
Sighhhh…
Nipatie number ya hiyo slayqueen nifikishe threshold.
Sir it was only just a dream
Nani amekwambia ni mtoi wa kila tumbili anataka?
All your Saturday posts are between 3am and 5am. Oooh single mother amenipenda nikahepa, married neigbour ameniitia slices, corporate lady amenismilia …jichambe polepole naniii