Wema Sepetu 'ubonge' umeharibu muonekano wako

Haya sasa wale wanaomkubali mrembo wa Tz Wema huu ndio uzi wenu.

Wema Sepetu ni mrembo ila sasa hivi kachuja baada ya kujiachia mwili.

Ila kuna wakati lishepu lake linabadilika kama kinyonga.

Saivi ameumuka kama unga wa maandazi…hivi hakuna wa kumshauri apunguze ubonge.

Au uzee ndio umeanza…

Wema punguza ubonge…urudi kuwa mrembo bila hivyo unazeeka.

Nimemaliza

sijaelewa

Utaelewa tu @Demiss na @innaa wakija

wanakuja

Waje tu…tumshauri huyu miss bantu

ki ukweli mlo unachangia, yule dada hajui nini maana ya njaa, na wanadai hamna mtu ‘mwembamba’ duniani!

Kweli mkuu, kula kula hovyo ndio kunaharibu muonekano wake…namshangaa maana mamiss wengi kama Nancy, Hoyce, Faraja mbona miili yao mizuri sana.

mkuu wembamba tupo wakudumu, mimi sijawah nenepa ni changes ndog ndogo sana. kukiwa na hatari hata kwenye utumbo wa kalamu naweza jifacha.

Natamani ningekuwa mwembamba mimi…ila najua kuuzuia ubonge wangu usizidi

Hujasikia kaenda india kakamuliwa utumbo sahv tegemea kumuona ktk umbo lake la mwanzo kabisa

Afadhali…maana alikuwa mmama wakati hajazaa

sawa

Nasikia eti ameenda india kukatwa utumbo ili asile sana upungue uzito.

dada ake jana kimambi katoa post ameenda india kufanyiwa operation ya utumbo ili asile sana kwaiyo tusubir labda atarudia hali yake ya umiss

Mi naona bora aongezewe ubongo apate akili.

yaani bora apunguzwe utumbo labda mwili wake utarudi kah

Ukitaka uzuri sharti udhulike,sasa ukakatwe utumbo ili usinenepe ataweza masharti na vigezo vya kuishi na hyo operation aliyofanyiwa haaa!

kwani angekomaa na mazoezi asingepungua

sidhani km atazaa tena yule Dada kaa

Mambo yake muachie mwenyewe…

Cc: @Mahondaw