Wewe kanakushikia wapi? Tommaste ako juu tu.

Nyinyi mkikunywa machemicals za EABL. Mimi niko na natural alcohol hapa tu. Tommaste ako juu tu. Peasants.[ATTACH=full]227610[/ATTACH]

Man, this is pure gold

Hii inakunyuliwa kwa mkebe ya rangi si itakushika ikufanye uone colors!!

Ndio maisha safi huanga. Sina shida na mtu mimi. Hata majirani wote wananipenda.

The only colors naona ni red, gold and green. Haile Selassie.

Hii ni slow burn, pole pole tu. Hakuna cha rainbow hapa.

Wewe kwisha