Wezi pale Kasarani caught on CCTV

[MEDIA=twitter]1097729805653630976[/MEDIA]

Manze investor ameenda hasara. Hawa wakipewa bullet na akina Pamba, kuna shida jameni?

Niliona nikamwaga chozi nikiimagine ni PS yangu inaraidiwa hivyo.

Baana, alafu hizo telly ni kama wako na ready market; bei ya jioni. Inauma sana

Huyo ni jamaa wa nduthi amevaa mpaka helmet??? Ayayayah!!! Mambo byad.

Chuckled when I saw that :D. Haikosi anajiambia that is extra protection in case akina @pamba showed up at the crime scene

this is so sad,
unacreate employment for like 4 guys alafu hizi manoogle zinakurudisha stage 1 na labda capital ilikua ni loan.
ndio nikiona mwisi akifanyiwa teambuilding hua nachangia vilivyo

But these silly boys risk their lives for peanuts, when all’s said and done. Hata kama wameiba TV tano za 40 inches, wauze 20k each, hiyo ni 100k.
Alafu simu ka 15 at 5k each, 75k. Pengine sales za hiyo siku 10k. Total ni 185k na wako over five guys, coz I’m sure there were one or two more outside. Mumechukua wiki mzima kupanga raid, na pia there are some players who didn’t take part in the actual raid you must sort e.g mwenye gun.
After all that mnajipata na kitu 15k each, which is even high because I’m sure they’ll dispose of those electronics at lower amounts than I estimated. Unarisk maisha juu ya peanuts, alafu unaharibu kwa pombe na maliar. Ghaseer tu.

Only his head is shootable? Look at those guys who were playing ,vile wameshika hizo vitu like the screen is gone so like ama wamefreeze. They are so frozen like kids in a class. So they transported this stuff with a nduthi.

Imagine if cops showed up and the idiots decided to hold the gamers as hostages. Mungu tu ndio huwa anatulinda

nduthi gang

Hao wezi ni watu wa ocha.

Inauma sana vile wanang’oa TV kwa ukuta kama auctioneers, like they have every right. Unaeza dhania walipea huyo jamaa wa PS loan akashindwa kulipa.

Hiyo video haileti shangwe. No colour halafu sijui kama hizo ni mosquitoes zimejaa making it very grainy. Let’s hope it will help police

Daaamn… Vijana wana misuli na nguvu nyingi wanaamka kuibia mseh. Si hiyo nguvu wapeleke kwa mjengo. Brare ghasia hao.

Reminds me how last year nilitoka job nikapata wame ng’oa tv yangu kwa wall.

Unaeza pata ni sabotage. So already wamelipwa kuja ku-sabotage hiyo bizna. Maybe by competitors, or by folks whom the owner of the business had messed up with one way or another. So what they get from the sale of electronics is a bonus, on top of what they may already have been paid. Otherwise I don’t think that the electronics money is worth the raid (though again, yuo can’t underestimate the njaa of these low-level thugs).

mimi iliniuma kwa sababu hawaonyeshi tv curved heshima wanazingoa kama ni greatwall, hizi zinaenda kuuzwa githurai

could be true, it was said this was the second time they were raided

hiyo confidence ni excess. Too many guns in the wrong hands

Huyo mmoja anang’oa hizo screens na madharau,atauza wapi akiharibu bwana

Aiii, maybe the tellies should have been better-secured coz they seem easily yanked from the wall.