Wezi republic

Wewe uliiba ngapi? Mimi nilikuwa nimeiba 100gb go for 30 days plus 600 minutes. But I felt so much ashamed at the end of the day. Lakini wezi walizikujia Kwa Fujo.

Hakuna cha bure.

Am on faiba4g ile ya Jamaa wa kass tv, wherefore I choose not to relate in any particular way. :smiley: rudisheni Deni ya wenyewe bila kusumbua

They just recovered what was left, mimi niliingia YouTube rhumba music hadi jioni.

Afande kwa hivyo unafaa kuwa mahabusu?

saw screenshot ingine eti saf wali deduct hio pesa kutoka kwa mpesa ya msee aliiba…

is that even possible? seems we are less secure with our cash

Yes you’re less secure. sasa utado?
https://www.kenyatalk.com/data/avatars/m/30/30683.jpg?1557767549

Hahahaha! Hata wewe ofisa ulikuwa umewapora?

Hiyo ni uwongo!

I couldn’t even buy 1 mb fraudulently. I saw that but I decided to walk away. Let me only get my fair and legit bundles.

Kambodians are loyal AF!

Not all. This is strictly about me. But generally, you may be 49% true.