na mimi mbona nikipigiwa simu hata kama nimekaa chini lazima nisimame nianze kuzunguka al over mpaka simu iishe Hizo zinaitwa 'gestures' za kuongea na simu. The same way ukiongea na mtu lazima uinue mikono